MPINA, FATMA NA OTHMAN WAPOKELEWA UNGUJA NA MAELFU YA WANANCHI
Na Mwandishi wetu
MGOMBEA wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, pamoja na Mgombea Mwenza Fatma Ferej na Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, wamepokelewa kwa shangwe na maelfu ya chama cha ACT Wazalendo na wananchi wa Zanzibar leo Agosti 9, 2025.
Mapokezi hayo yamefanyika upande wa Unguja ikiwa ni sehemu ya kujitambulisha kwa umma kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.





Comments
Post a Comment