SALUM MWALIMU WA CHAUMMA ACHUKUA FOMU YA URAIS INEC




Na Mwandishi wetu

MWENYEKITI wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,  Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele leo Agosti,12 2025 amekabidhi fomu ya uteuzi kwa mgombea wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano kutoka Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu.  

Hafla hiyo imefanyika kwenye ofisi za Tume zilizopo Njedengwa Jijini Dodoma.

Mwalimu aliambatana na mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais kwa tiketi ya Chama hicho,  Devotha Mathew Minja.







Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA