WIZARA YA NISHATI ENDELEENI KUSIMAMIA UFANISI WA MIRADI YA NISHATI- DED MKALAMA
Na Mwandishi wetu
MKURUGENZI wa Mkalama, Mkoani Singida, Asia Juma Messos ame wito kwa Wizara ya Wilaya kwa umuhimu mkubwa zaidi Taasisi zake ili ziendelee kutekeleza miradi ya Sekta ya Nishati kwa ufanisi na hivyo kuleta maendeleo kwa Wananchi.
Messos amesema hayo Agosti 6, 2025 wakati alipotembelea Banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ( Nanenane) Jijini Dodoma.
Ameeleza kuwa Serikali imekuwa ikitoa fedha nyingi kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa Wananchi miradi ya umeme na Gesi Asilia hivyo Wizara iendelee taasisi zake, ziweze kutekeleza miradi hiyo kwa ufanisi.uhe
Mkurugenzi wa Wilaya ya Mkalama pia ametembelea Mabanda ya Taasisi za Wizara ambazo ni TANESCO, REA, EWURA, PURA, TPDC, PBPA na TGDC ili kuona shughuli mbalimbali zinazofanywa katika Maonesho hayo.
Katika ziaza hiyo Messos ameambatana na Katibu Tawala Wilaya ya Mpwapwa, Michael Maganga, Katibu Tawala Wilaya ya Dodoma, Sakina Mbugi na Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala kutoka Wizara ya Kilimo, Eliasifu Mlay.




Comments
Post a Comment