BARAZA LA WAZEE MOROGORO LAFURAHISHWA NA UWEKEZAJI MKUBWA KITUO CHA KUFUA UMEME JNHPP

 



Wasema hali ya umeme kwa sasa Mkoani Morogoro ni shwari

Waishukuru TANESCO kwa kuwapa nafasi kutembelea Kituo hicho

Na Mwandishi wetu

BARAZA la Wazee Mkoa wa Morogoro limefurahishwa na kutafuta na Serikali kupitia TANESCO katika kituo cha kufua umeme cha Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), baada ya kituo hicho kama wazee miongoni mwa mikoa ya jirani inayopakana na kituo kikubwa cha kufua umeme.

Hayo yamebainishwa na wajumbe wa Baraza hilo Septemba 10, 2025 kituo hicho ikiwa ni moja walipotembelea ya kujionea kuona mkubwa na Serikali ya kulinda watanzania wanapata huduma ya umeme.

Mmoja wa wazee hao Silver Samweli kutoka Ifakara amesema Mkoa wao unaendelea kunufaika na uwepo wa kituo hicho.

“Faida tunayoipata kupitia Kituo hichi ni pamoja na kupata umeme wa kutosha. Awali tulikuwa na umeme unakatika mara nyingi sana lakini sasa hivi hali hiyo haipo tena kutokana na uwepo wa Kituo cha Mwalimu Nyerere,” amesema Samweli.

Nae Tatu mbonde amesema kwa ajili ya mkubwa aliouona katika Kituo hicho kilichobaki ni Watanzania kuwa walinzi ili kulinda umeme unaendelea kuaminiwa.

“Ninawaomba wananchi wetu kiujumla pamoja na wanamorogoro, tuulinde Mradi huu kwa asilimia 100, tusiharibu vyanzo vya maji, tusilime vyanzo vya maji kwa sababu mito inayokujaza Bwawa la Mwalimu Nyerere tufanye tupate umeme wa uhakika,” amesema Mbonde.

Akizungumza katika ziara hiyo Mkurugenzi wa Kituo cha Bwawa la Julius Nyerere Mhandisi Manfred Mbyalu amesema miongoni mwa watu walioajiriwa wakati wa ujenzi wa Mradi wa Julius Nyerere ni pamoja na wananchi wa Mkoa jirani wa Morogoro hivyo ujio wa wazee wa Mkoa huo umekua kama ushuhuda wa kazi iliyofanyika.

"Wazee wamekuja kujiridhisha na kile kilichofanyika na kuona kweli vijana wao wameshiriki mradi huu mkubwa wa kimkakati kwa ajili ya kuleta maendeleo ya nchi yao," aliongea Mbyalu.

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA