DKT. NCHIMBI APOKELEWA JIMBO LA UKONGA KUENDELEA NA KAMPENI ZA KUOMBA KURA ZA CCM.
Na Mwandishi wetu
MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi awasili katika viwanja vya Kampala Relini Jimbo la Ukonga Wilaya ya Ilala na kupokelewa kwa shangwe na Wananchi wa Jimbo la Ukonga pamoja na Viongozi Mbalimbali wa CCM,.
Katika muendelezo wa mikutano yake ya kampeni anayoendelea kuifanya kwenye majimbo ya jiji la DSM kwa kunadi sera Mbalimbali za CCM kwa wananchi ili wawachague Wagombea wake kwa kura za ndiyo na kuibuka na ushindi kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Mwezi Oktoba 29, 2025.










Comments
Post a Comment