DKT SAMIA AWASILI MASASI KUENDELEA NA KAMPENI ZA URAIS ZA CCM
Na Mwandishi wetu
MGOMBEA wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa mkutano kwa ajili ya kuzungumza na wananchi wa Masasi katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Mtwara tarehe 23 Septemba, 2025.


Comments
Post a Comment