DOYO AAHIDI SERIKALI YA WANANCHI, SI YA MASLAHI YA WABUNGE




Na Mwandishi wetu

MGOMBEA urais wa tiketi ya chama cha NLD, Doyo, ameendelea kusisitiza dhamira yake ya imani mishahara na maslahi makubwa ya wabunge endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.


Akihutubia wananchi wa kata ya Mkata, wilayani Handeni, Doyo alisema kuwa mishahara mikubwa ya wabunge hawezi kuwa Waziri katika sekta muhimu zinazogusa maisha ya Watanzania wengi bado zinahitajika na changamotolukuki.


 "Hatuwezi kuwa na wabunge wanaolipwa mishahara mikubwa, wauguzi, wakulima na hata watoa huduma za maji safi wakihangaika kila siku. Ni lazima tuweke usawa na kipaumbele kwenye huduma zinazowagusa wananchi moja kwa moja," alisema Doyo.


Aidha, alibainisha kuwa serikali yake, endapo ridhaa, itaweka mkazo katika sekta ya afya kwa kuboresha hospitali na vituo vya afya, kusaidia dawa zinapatikana kwa wakati na kuongea motisha kwa wauguzi na madaktari. Vilevile alisema agenda ya elimu ni kupata kila mtoto wa Kitanzania ana elimu bora bila vikwazo vya kiuchumi.


Katika sekta ya kilimo, aliongeza huyo aliahidi gharama gharama za pembejeo, kusema uhakika kwa mazao ya wakulima na kubainisha ya kisasa ya kilimo ili kuongea tija. Pia aligusia changamoto za maji safi vijijini na mijini, akiahidi kuwekeza katika miradi ya maji safi na ili kumaliza tatizo la wanawake na watoto kutembea umbali mrefu kufuata huduma hiyo, hasa katika maeneo ya wilaya ya Handeni.


Mhe. Doyotaka wananchi wa Handeni na Watanzania kwa ujumla kuungana naye katika mapambano ya kuleta usawa wa kijamii aliwasaidia kupitia sera zake, akisisitiza kuwa maslahi ya wabunge katika sehemu ya mabadiliko makubwa yatakayoweka usawa baina ya viongozi na wananchi.


“Ubunge kuwa anasa katika taifa hili huku wananchi wakilala njaa na kuishi maisha magumu Kuna haja ya kuweka usawa katika hili.Tukishindwa kufanya hivyo mapema, vizazi vijavyo vitawaona wabunge kama mzigo na hata kuwapiga badala ya kuwapigia makofi.



Baada ya mkutano huo, msafara wa huyo unaelekea Kiteto, kisha Manyara, Arusha na hatimaye Mkoa wa Mara kwa mikutano ya kampeni.

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA