MGOMBEA URAIS DKT. SAMIA AKIKABIDHI ILANI YA UCHAGUZI 2025 -2030 KWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA URAMBO



Na Mwandishi wetu

MGOMBEA wa Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Ilani ya Uchaguzi kwa Mgombea Ubunge wa Chama hicho mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Urambo katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Tabora Septemba 11, 2025.




Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA