NISHATI SAFI INATEKELEZWA KWA VITENDO GEITA

 



Chereko yatajwa na wananchi Banda la REA

Majiko ya gesi na majiko banifu yanauzwa kwa bei ya ruzuku


Na Mwandishi wwtu

WANANCHI wakiwa katika banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ili kununua majiko ya gesi na majiko banifu kwa bei ya ruzuku katika Maonesho ya Nane ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini  mkoani Geita. 



Maonesho hayo yamefunguliwa  rasmi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa.




Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA