TANESCO YAFANYA MATENGENEZO KINGA BILA KUZIMA UMEME NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME CHALINZE - KINYEREZI




Ni kwa kutumia teknolojia ya Live Line

Wananchi waendelea kufurahia huduma ya umeme wakati matengenezo yakiendelea

Na Charles Kombe, Chalinze

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya matengenezo kwenye njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa Kilovoti 220 kutoka Kituo cha kusambaza umeme Chalinze hadi Kituo cha Kinyerezi Dar es Salaam bila kuzima umeme (live line).

Matengenezo hayo yalihusisha wa vikombe (kihami) kuona vionekane kuwa na changamoto katika changamoto katika njia hiyo ya kusafirisha umeme hapo awali ingelazimu kuzima umeme kwenye laini hiyo ambayo ingepelekea maeneo yanayopata umeme kupitia njia hiyo kukosa huduma cha kuhifadhi . 

Akingunzua wakati wa zoezi hilo Mhandisi kutoka Kitengo cha usafirishaji umeme Philemon Tirukaizile katika teknolojia hiyo imeondoa kero ya kukatika umeme kwa wananchi wakati wa ukarabati. 



“Bila kuwa na teknolojia hii ya kufanya matengenezo bila kuzima umeme, tungeweza kuizima njia yetu ya kusafirisha umeme kwa msaada wa sita. Ina maana muda wa wateja wetu kuanzia hapa Chalinze kuelekea Mlandizi mpaka maeneo ya Kibaha 
wa kukosa huduma ya umeme,” alisema Tirukaizile

Akifafanua namna wanavyotekeleza zoezi hilo, mshahara wa timu ya usafirishaji Mkoa wa Pwani Sadiki Sadiki alieleza kuwa zoezi hilo linatekelezwa na mafundi wataalam wenye mafunzo kwa kuzingatia usalama wa hali ya juu.





“Kabla hatujaanza kazi yetu huawa tunafanya mawasiliano ya watu wetu wa Kituo cha kupoza umeme ili waweze kutolewa kibali cha kufanya zoezi hili.  

Kwa upande wake Bahati Ramadhani ambae ni fundi katika kitengo hicho amesema ujuzi huo ameupata kupitia mafunzo aliyoyapata ndani ya Shirika.

“Shirika limenijenga kwa sababu kabla ya kuanza kazi hii nilianza na mafunzo kwenye msongo mkubwa wa njia ya kusafirisha umeme ya Kilovoti 400 kutoka Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), na mafunzo yanaendelea. Bahati

 Teknolojia hii inalenga upotevu wa umeme kutokana na kuzima laini pamoja na kuondoa malalamiko ya watumiaji wa maeneo ambao hapo awali walilazimika kukosa huduma ya umeme kwa muda ili kulisha kazinga.

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA