WAWILI MBARONI KWA MAKOSA YA UHUJUMU NA UHAMISHAJI HOLELA WA MITA ZA UMEME DAR ES SALAAM
Mfumo wa TANESCO wapokee taarifa za siri (Whistleblower) wazaa matunda
Ni baada ya raia mwema kuripoti tukio la eneo la Madale kwa Kawawa
TANESCO itaendelea kuhamasisha matumizi ya mfumo huo kwani ni bora, rahisi na salama
Na Agnes Njaala, Dar es Salaam
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limewafikisha mikononi mwa vyombo vya dola watuhumiwa wawili kutoka maeneo ya Madale kwa Kawawa na Tegeta kwa Ndevu baada ya kubainika kujihusisha na makosa ya hujuma na uhamishaji holela wa kinyume na utaratibu.
Afisa Usalama wa TANESCO, Lilian William, alisema taarifa zilipokelewa kupitia wapokee taarifa za siri ya TANESCO unaojulikana kwa jina la 'Whaistleblower', zikijulikana kwa jina la ujumbe 'Whaistleblower', zikihusus ujumbe wa ujumbe wa umeme moja ya nyumba iliyopo eneo la Madale kwa Kawawa, Dar es Salaam.
“ Mara baada ya kupata taarifa, tuliona eneo la tukio tulikuta nguzo ya umeme imekatwa na mita aina ya Bahdela imeng’olewa. Uchunguzi ulibaini aliyefanya kitendo hicho ni kibarua wa TANESCOajiriwa kwa mkataba wa kikundi,” alifafanua Lilian.
Mtuhumiwa, Ally Salehe, alikiri kosa hilo na kueleza kuwa chanzo ni shida ya familia na mlezi wake, Bw. Imamu Salehe. Baada ya mahojiano zaidi na Jeshi la Polisi, ilibainika kuwa pia vifaa vilivyohifadhiwa kinyume cha utaratibu, ikiwa ni mita moja (01) ya Inhemeter, Pg Clamp (100), Waya aina ya ABC wa 25mm urefu wa mita 30, Viwasilianishi yaani 'CIU' (19) na Dion (05) vyote vilivyokuwa mali ya TANESCO.
Mtuhumiwa huyo yupo mbaroni kwa hatua za kufunguliwa kesi ya uhujumu na baadae atafikishwa mahakamani kwa hatua zaidi za polisi kwani huduma hiyo inaunganisha kwenye nyumba hiyo ya Baba yake mlezi ilikuwa kinyume na taratibu kutokana na usajili wa mita hiyo kusoma eneo la Mwananyamala.
Katika tukio lingine, upande wa eneo la Tegeta kwa Ndevu ulibaini mita tatu (03) zimehamishwa kinyume na utaratibu baada ya usajili wake kubainika kusoma tofauti na ambalo mita hizo zimefungwa huku mpangaji wa eneo hilo la biashara Baraka Koyoyo akishikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi na hatua zaidi za kisheria.
TANESCO inaendelea kuhamasisha matumizi ya mfumo wa 'Whistleblower' katika kufichua matendo ya uhalifu yanayolihujumu Shirika kwani vitendo si tu vinaathiri uchumi wa Shirika , bali pia rudisha maendeleo nyuma ya ustawi wa uchumi wa Taifa.
Shirika linasisitiza kuwa, litaendeleza vyombo na vyombo vya dola kusaidia halifu wanaothibitika kuwa na hatia kuchukuliwa hatua kali za kisheria ili kuzidi kuleta uwepo wa uwepo wa mfumo huo wa kimageuzi.





Comments
Post a Comment