CHALAMILA AUGANA NA WATANZANIA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameshiriki katika hafla maalum ya Kongamano la Kuombea amani Taifa la Tanzania kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Octoba 29,2025.
Kongamano hilo limefanyika Octoba 18,2025 katika ukumbi wa Starlight Jijini Dar es salaam na kuratibiwa li na Jumuiya ya kuifadhisha Quran Tanzania limelenga kuhimiza Utulivu, Umoja na Maelewano miongoni mwa watanzania katika kipindi hiki cha kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 29,2025





Comments
Post a Comment