SERIKALI IMEONESHA DHAMIRA YA DHATI KULINDA MAISHA YETU DHIDI YA MAMBA - WANANCHI MARA.
Idadi ya Vizimba Yaongezeka
Na Mwandishi wetu, Mara
WANANCHI wa wilaya ya Bunda mkoani Mara wamekiri kuiona dhamira ya dhati ya Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia mamlaka ya Tanzania ni matumizi ya Wanyamapori - TAWA ya kutatua migongano ya wanyamapori na binadamu Kwa kuongeza Idadi ya vizimba, hatua kwa athari kwa wananchi hao.
Kauli hiyo imetolewa Oktoba 22, 2025 wa ziara ya kukagua vizimba hivyo ikienda sambamba na utoaji wa elimu ya kuepuka madhara yanayoweza kusababishwa na wanyampori aina ya mamba na viboko iliyofanywa na maofisa wa TAWA mkoani humo.
mtu aliyejeruhiwa na mamba, Kurwa Ryoba mkazi wa Kijiji cha Buzimbwe ameishukuru Serikali Kwa hatua hiyo ya kuongezeka Idadi ya vizimba akisema vizimba hivyo ni suluhisho muhimu katika kuokoa maisha ya wananchi, huku akiwasisitiza wananchi wenzake wasiweze kutumia vizimba ilije wakapata madhara aliyoyapata.
"Naishukuru sana Serikali kutujengea kizimba hiki, maana kabla hakijajengwa watu walipata madhara akiwemo ndugu yangu" alisema Ryoba.
"Wananchi wenzangu, kizimba hiki kimejengwa hapa lakini naona wengine wanadharau kutumia, wakipata madhara wanaanza kuilaumu Serikali. Mimi nawashauri wajifunze kutoka kwangu, wachukue tahadhali watumie vizimba, Serikali imefanya maneno mazuri kutujengea vizimba" mkaazi huyo wa Kijiji cha Buzimbwe.
Afisa Habari wa TAWA Beatus Maganja amesema Kufuatia changamoto kubwa za wanyamapori wakali na waharibifu nchini hususani katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, Serikali kupitia TAWA katika malipo ya Mwaka 2024/25 ilitenga zaidi ya shilingi milioni 210 Kwa ajili ya kuongeza Idadi ya vizimba vilivyoanza Saba (7) ambapo Kwaendelea wilaya ya Bundakamilika na kilimo kilichokamilika.
Aidha ametoa rai Kwa wananchi hao kuwa na matumizi sahihi ya vizimba hivyo, ikiwa ni pamoja na kikundi na wanavilinda ili viendelee kuwa msaada kwao.
"Hatujisikii furaha kusikia wananchi wanapata madhara ya wanyamapori hawa, hivyo ni muhimu mzingatie matumizi sahihi ya vizimba hivi Kwa ajili ya usalama zaidi ili kujiepusha athari hizo. Vilevile Serikali imetumia gharama kubwa kuvijenga, hivyo kila mmoja wajibu wa kuvilinda ili viendelee kuwa msaada" alisema Maganja.
Naye Afisa Uhifadhi Kutoka Kanda ya Ziwa, Sato Masinde amewashauri viongozi wa vijiji kuunda Sheria ndogo ni hatua muhimu ya kuhifadhi ipasavyo kuendelea kuwanufaisha wananchi hao.



Comments
Post a Comment