WANUFAIKA WA MITAJI YA COOKFUND WAHIMIZWA KUWEKEZA KATIKA MITUNGI MIDOGO YA GESI

 



Ni mitungi ya kilo tatu au chini ya kilo tatu

Lengo ni kuwezesha wananchi wa kipato cha chini kumudu gharama

Wasisitizwa matumizi ya Mita janja (smart mita) ili kuwezesha wananchi kununua gesi kama LUKU

Na Mwandishi wetu

WANUFAIKA wa mitaji kupitia mradi wa CookFund ambao upo chini ya mpango wa kimataifa wa Integrated Approach to Sustainable Clean Cooking Solution unaotekelezwa na Mfuko wa Mitaji ya Umoja wa Mataifa (UNCDF) kwenye mkutano wa Umoja wa Ulaya (EU) wamehimizwa kuelekeza zaidi katika suala zima la kutuma pesa kidogo katika biashara hiyo chini au chini ya kilo tatu ili kuwawezesha wananchi kupata zaidi.

Mkurugenzi wa Nishati safi ya Kupikia Wizara ya Nishati, Nolasco Mlay ameyasema hayo wakati akiendelea na ziara yake jijini Mwanza kwa lengo la kukagua miradi ya Nishati Safi ya Kupikia inayofadhiliwa na Cookfund. ambayo inalenga maendeleo ya nishati safi ya kupikia nchini.





Akiwa jijini Mwanza Mlay alitembelea kuuza walioongezewa mtaji kupitia mradi huo wa CookFund ili kusaidia Wananchi wanafikiwa na huduma ya gesi kwa ukaribu zaidi kupitia uinuaji wa wateja na kati sekta ya nishati safi ya kupikia.

Amesema kupitia Cookfund wanapewa mitaji na msaada wa rasilimali ili kuchangia wigo wa majiko bora ya gesi na mitungi ya gesi.

Mlay amewapongeza wanufaika hao wanaouza mitungi ya gesi kwa bei ya ruzuku kwa Lucy kwa kuwaomba wananchi wanapata huduma hiyo kwa kusema nasisitiza zaidi huku akizidi kubainisha pia mitungi ya gesi ya kilo moja hadi tatu.

"Tunahitaji kuona wanufaika wa CookFund wakiwekeza kwenye teknolojia zinazogusa maisha ya wananchi moja kwa moja. Mitungi midogo ni suluhisho linalowezesha watu kutumia gesi badala ya kuni au mkaa". Amesema Mlay





Sambamba na hilo, Mlay ametoa wito kwa wadau wote wa nishati safi ya kuleta teknolojia ya mita janja (smart meter) kwa baadhi ya maeneo ambayo bado hawana ilihisi ununuzi wa gesi kwa njia ya kidigitali, na kuondoa changamoto za changamoto mitungi kwa gharama kubwa au umbali mrefu.

“Lazima tuhakikishe nishati safi ya kuokoa kwa bei nafuu, kwa njia rahisi, na vifaa vinavyomfaa kila Mtanzania kwani kupitia teknolojia hii wananchi wataweza kununua nishati hiyo kama wanavyonunua umeme kwa njia ya LUKU ambapo kuondoa changamoto za upatikanaji wa mpito kwa wananchi wa kipato cha chini”. Amesisitiza Mlay.

Vilevile amewataka wananchi kuendelea kuchukua hatua kutumia nishati safi za kusoma ikiwemo gesi, umeme, mkabadilika mbadala na bayogesi kwa ajili ya afya bora na mazingira salama.





Kwa upande wao, Wafanyabiashara wanaouza mitungi ya gesi wamesema kuwa mwitikio kutoka kwa wananchi umekuwa mkubwa huku baadhi ya wananchi wakikopeshwa mitungi na wengine wakijitokeza kuwekeza kwa kulipa fedha kidogo ili kuweza kupata mitungi hiyo ya gesi ili kuachana na matumizi ya nishati rafiki kwa afya na mazingira.

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA