DKT.MHANDO AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MTAKUWWA II DODOMA
Na Mwandishi wetu
KAMISHNA wa Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Nandera .E. Mhando ameongoza kikao cha Kamati tendaji ya Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto Awamu ya Pili (MTAKUWWA II), kilichofanyika tarehe 11 Novemba, 2025 Jijini Dodoma.
kikao hicho kilihudhuriwa na wajumbe kutoka Wizara, Taasisi za Serikali Taasisi za Kifedha na Mashirika ya Kitaifa na Kimataifa ambacho kimejadili na kupitia taarifa ya Utekelezaji wa MTAKUWWA II ya kwa mwaka 2024/2025.










Comments
Post a Comment