DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA KAZI CHA WAKUU WA MIKOA
Na Mwandishi wetu
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Novemba 27, 2025 ameongoza kikao cha kazi cha Wakuu wa Mikoa Tanzania bara, kikao hicho kimefanyika Ofisi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.



Comments
Post a Comment