WAZIRI SHARIFF APONGEZA MAKAMPUMI 100 BORA KWA KUCHOCHEA UWEKEZAJI NA UKUAJI WA UCHUMI
Waziri wa Kazi na Uwekezaji Zanzibar, Shariff Ali Shariff (katikati), amesema tuzo za Wakuu na Watendaji wa Makampuni 100 Bora Kuvutia Uwekezaji na kukuza uchumi wa Tanzannia.
Waziri Shariff aliyasema hayo wakati akishiriki hafla ya utoaji tuzo hizo zilizofanyika mnamo Novemba 21, 2025 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es salaam.



Comments
Post a Comment