DKT. ABBAS AHAMASISHA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KUSHIRIKI TAMASHA LA FUNGA MWAKA KIJANJA TALII
Athibitisha Utalii Kuimarika zaidi nchini
Na Beatus Maganja, Dar es Salaam
TAMASHA la Funga Mwaka Kijanja Talii Msimu wa Pili linaloendelea katika viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam limeelezwa kuwa fursa muhimu kwa wakazi wa jiji hilo na Watanzania kwa ujumla katika kufanya utalii wa ndani kwa kushuhudia vivutio mbalimbali vya wanyama pori.
Tamasha hili lililoanza Disemba 2025 na kutazamiwa tamati Januari 05, 2026 ni sehemu ya kampeni kubwa ya kitaifa ya kuhamasisha utalii katika kipindi cha sikukuu na kufunga mwaka ulioandaliwa na kuratibiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii Kupitia Bodi ya Utalii Tanzania.
Mawasiliano wakati wa kutembelea tamasha hilo mapema leo Disemba 24, 2025, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbas ametoa wito kwa wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam na mikoa ya jirani kujitokeza kwa wingi katika tamasha hilo ili kuweza kupata elimu ya namna ya kuwekeza katika sekta ya utalii nchini, namna ya kushiriki katika biashara ya nyara na kupata kitoweo cha nyamapori kwa njia halali sambamba na kujionea wanyamapori hai wa aina mbalimbali wakiwemo tembo na nyimbo "Kasongo yeye"
"Tunawaomba wananchi wa Dar es Salaam na mikoa ya jirani waje viwanja vya SabaSaba Kilwa"Road" kujionea wanyamapori hai, mimi mwenyewe nimejionea Simba, duma, tembo, "Kasongo" (ngiri) pia yupo hapa" alisema Dkt. Abbas
Katibu Mkuu huyo amesema sekta ya utalii nchini iko imara, haijatikisika na inaendelea kuonesha ukuaji wa changamoto mbalimbali Aidha kuikumba dunia na nchi yetu akibainisha kuwa kuanzia mwaka huu, watalii imeongezeka kwa asilimia 9 ya kipindi kama hicho mwaka 2024 na kusisitiza kuwa mamlaka ya Uratibu wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) hufanya vizuri eneo hilo.
"Watalii wameongezeka Tanzania kwa asilimia 9 kati ya mwezi Januari hadi mwezi Novemba 2025. Kwahiyo kitaifa tunalo gazeti la watalii moja na sabini na tatu (173,000) kumbukumbu na kipindi hiki jana" alisema Dkt. Abbas
"Hata kwenye taasisi yetu ya TAWA, wanafanya vizuri sana, utalii unafanya vizuri. Kwa maana ya TAWA watalii kubwa kwa asilimia takribani 18 kutoka nje ya nchi na wale wa ndani wameongezeka kwa asilimia 40" Dkt. Abbas
Dkt. Abbas mkutano wa kukusanya hilo linatokana na nguvu za serikali katika kutangaza utalii, kutafuta hifadhi zote nchini, watalii kuendelea kutafuta.
Kwa upande wake, Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wa TAWA Mlage Yusuf Kabange amesema lengo la tamasha hilo ni kuitikia maombi ya wananchi ya kutaka kupata wasaa mzuri zaidi wa kuona wanyamapori, maombi yaliyokuwa yakitolewa na wananchi katika kipindi cha maonesho ya biashara ya Kimataifa.
"Wakati tunafanya maonesho ya SabaSaba hapa, baadhi ya wananchi walileta maombi kwamba muda wa kuona wanyamapori hautoshi, sasa tumeona tuje tofauti na mkamati mmoja ni huu wa kuleta wakati wa kipindi cha likizo ambapo wanafunzi watakuwa na nafasi ya kutosha na wazazi wao kusindikiza kuja kuona wanyamapori hawa" alisema Kabange.
"Sasa ni kama tumehamisha mbuga kwa kuitoa porini na kuileta Dar es Salaam, kwakuwa tumeongeza wanyama ambao hawakuwepo katika maonesho mbalimbali yaliyopita ambao wananchi walihitaji wawepo kama vile tembo, ngiri na aina nyingine ya swala" alisisitiza Kamishna Kabange.

Comments
Post a Comment