SHETTA ACHAGULIWA KUWA MSTAHIKI MEYA JIJI LA DSM
Na Mwandishi wetu
DIWANI wa Kata ya Mchikichini, Nurdin Bilal maarufu Shetta amechaguliwa leo Jijini Dar es salaam Disemba 4,2025 katika mkutano wa kwanza wa Baraza la Madiwani uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee.
Shetta amepata kura 48 kati ya 51 .

Comments
Post a Comment