MERIDIAN NA MIXX BY YAS ZAZINDUA PROMOSHENI YA "JIMIXX NA USHIND BAB KUBWA"

 



Na Mwandishi Wetu

KAMPUNI inayoongoza ya kubashiri nchini Meridian imeshirikiana na kampuni ya simu ya mkononi ya YAS kupitia huduma ya fedha Mixx by Yas kwa ajili ya kuwazawadia zawadi mashabiki wa kubashiri Tanzania.

Mafundisho na waandish wa habari mapema leo Jijini Dar es Salaam ,Meneja mahusiano ya Meridian Betting,Clementina Kingwa,amesema Promesheni hiyo itaanza michezo januari 27 mwaka huu hadi Aprili 27 mwaka huu wateja watakojishindia ni wale wanaofurahia kwenye akaunti zao za kubashiri Mix zaidi ya shiling 5000 za kitanzania bure.

"Tunafurahia kuona na Mixx by Yas huanzisha promosheni hii ya kusisimua kwa wateja wetu wapendwa, Sou Meridianber, tuna dharnira ya kutoa thamani na burudani bora kwa wateja wetu, na promosheni hu ni ushahidi wa utoaji wetu."Amesema.

Hata hivyo,Clementina amesema pamoja na bonasi ya 10 inayowekwa moja kwa moja kwenye akaunti zao za kubashiri



Zaidi ya hayo, washindi wawili wenye bahati watachaguliwa kila wiki kupokea simu mpya za kisasa

Zawadi Kuu: Kama kilele cha promosheni, Meridianbet na Mixx by Yas zinafuraha kutoa zawadi kuu ya washindi wawili wenye bahati kila mmoja atapokea Bajaji mpya, ya usafiri wa kuboresha na kuboresha safari ya kila siku. Mshindi mmoja atajishindia Pikipiki aina ya Boxer na Mmoja atajishindia TV aina ya Hisense inch 55,

Kwa upande wake Meneja biashara ya kampuni ya Mixx by Yas, Ayimbora John

Amewahimiza wateja wa Mixx by Yas, chukua fursa hii kwa kuweka pesa kwenye akaunti zao za kubashiri za Meridianbet kupitia Mixx by Yas. 

"Wateja wa Mixx wanaweza kushinda zawadi hizi kwa kuweka pesa kwenye akaunti zao za kubashiri kwa kutumia mix super app au kupiga *150*01#, Chagua Malipo ya Bili, kisha Chagua na Ingiza Namba ya Biashara 444999, ikifuatiwa na kiasi." Ayimbora ameeleza.

Washindi watachaguliwa kupitia droo za kila siku, na droo kuu ya wiki itafanyika kila Ijumaa na tangazo litafanywa kupitia mitandao ya kijamii.


Meridianbet na Mixx by Yas zinaendelea kutoa huduma bora kwa wateja wake kupitia promosheni zenye kuvutia na zawadi nyingi. Promosheni hii itairwa JIMIXX na Ushindi Bab Kubwaa,"

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA