MSOLLA AELEZA MAFANIKIO YA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA BUYUNI





Na Mwandishi Wetu 

DIWANI wa Kata ya Buyuni, Jesca Msolla, amesema kata hiyo imeanza utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan tangu aapishwe, miradi inayolenga kuboresha huduma za elimu, afya, pamoja na ulinzi na usalama kwa wananchi wa eneo hilo.

Msolla ameyasema hayo jijini Dar es Salaam mapema leo Januari 15,2026 wakati akizumza na waziri mkuu ambapo alisema amefanikiwa kuchukua hatua kadhaa za kuanzia mwanzo wa kuwapatia wazee afya ili waweze kupata huduma salama katika vituo vya kutolea huduma za afya.

Alisema Kata ya Buyuni ina jumla ya mitaa nane, ambapo wenyeviti wa mitaa tayari wameanza kuratibu zoezi la kuwabaini wazee wote wanaohitaji bima za afya ili wanapata huduma bila wanaohitaji matibabu.




Kuhusu fursa za kiuchumi, Jesca alisema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ametoa maelekezo kwa watendaji wa kata na wenyeviti wa serikali za mitaa kuwa mikopo ya asilimia 10 tayari imetolewa, kwa Kata ya Buyuni.

Alisema kata i kuvitambua na kuvisajili utafiti mbalimbali ili viweze kunufaika na mikopo hiyo, inayolenga mikopo ambayo ni wanawake, vijana na maalumu tayari yakiwemo watu wenye ulemavu, ili waweze kujiendeleza hiyo uchumi.

Katika sekta ya elimu, Diwani huyo akaendelea kusema ujenzi wa shule ya watoto wa sheria umeanza rasmi, ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuhakikisha watoto wote wanapata haki ya elimu bila ubaguzi.






Aidha ameushukuru uongozi wa wilaya ya Ilala ukishukuru na Mkuu wa Wilaya Mpogolo, Edward kwa kuzingatia katika kusikiliza na kupokea mahitaji ya kata hiyo, hali inayosababisha kutekeleza miradi ya maendeleo.

Pia aliongeza kuwa Kata hiyo imepewa kipaumbele cha kujenga shule kubwa ya ghorofa kwa ajili ya kuongeza madarasa, mradi unaolenga kusoma msongamano wa wanafunzi na kuboresha mazingira ya kujifunzia, huku fedha za utekelezaji zikiwa tayari zimetengwa.

Kwa upande wa sekta ya afya, Jesca alisema Zahanati ya Buyuni imeboreshwa na kupandishwa hadhi kuwa Kituo cha Afya Buyuni, ambacho kipo katika hatua za mwisho za kukamilika na huduma za mama na mtoto pamoja na huduma za huduma kwa wajawazito wanaopata changamoto wakati wa kazi.

Alisema hatua ya chini kupitia vifo vya mama na mtoto pamoja na kusogeza huduma bora za afya karibu zaidi na wananchi, huku akiishukuru serikali kwa kuzingatia afya ya mtoto wa miaka mitano na mama mjamzito.

Akizungumzia ulinzi na usalama, alisema kata hiyo imeimarisha kwa viongozi na wenyeviti wa mitaa, Jeshi la Polisi na wananchi, akipongeza Jeshi la Polisi Kata ya Buyuni kwa juhudi zao na kuwahakikishia wananchi wanaendelea kuwa salama.

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA