MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI ASHIRIKI KIKAO CHA WADAU WA MAHAKAMA

 



Na Mwandishi wetu

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali Hamza Johari ameshiriki katika kikao cha wadau wa Mahakama kilichofanyika Januari,22 2026 Jijini Dodoma.

Kikao hicho kilichoongozwa na Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania George Masaju kililenga katika kujadiliana juu ya uboreshaji wa utoaji wa huduma za Mahakama na Sekta ya Sheria kwa ujumla.




Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA