TUNA DENI LA KUSIMAMIA MIRADI NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI ILI KULETA MAENDELEO YA KWELI– SALOME
Anza ziara ya kikazi mkoani Shinyanga kukagua miradi ya nishati
Ataka changamoto za wananchiliwe kwa wakati
Siku 100 za Rais Samia Umeme kuwashwa kwenye vitongoji mkoani Shinyanga
Na Mwandishi Wetu SHINYANGA
NAIBU Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema viongozi wana jukumu kubwa la kutekeleza miradi ya maendeleo sambamba na kusikiliza pamoja na kutatua kero za wananchi ili kuleta maendeleo ya kweli.
Salome ameyasema hayo leo tarehe 8 Januari, 2026, mkoani Shinyanga wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya nishati ya utekelezaji mkoani humo.
Amesema wana imani kubwa na Serikali yao, hivyo ni wajibu wa viongozi wa viongozi wanaojitokeza kwa wakati.
Ameongeza siku 100 za Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan Wizara ya Nijibu imejipanga umeme unawashwa kwenye miradi ya vitongoji mkoani Shinyanga iliwezesha wananchi kufaidika na huduma muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi na kiuchumi.
Katika hatua nyingine, Salome ametembelea Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, ambapo alikutana na Katibu wa CCM Mkoa huo pamoja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (MNEC) sambamba na Sekretarieti ya Mkoa ambapo amesema kumekuwa na ushirikiano mzuri kati ya Chama na Serikali katika kuwahudumia wananchi.
Kwa upande wake, Odilia Abraham Batimayo alisifu utendaji wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) pamoja na TANESCO kwa changamoto kwa changamoto za wananchi, hatua inayochangia kujenga imani kwa wananchi kwa Serikali yao.
Salome yuko mkoani Shinyanga kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya nishati, ikiwa ni mradi wa umeme wa Kishapu pamoja na miradi ya umeme wa vitongoji katika vijiji mbalimbali vya mkoa huo.





Comments
Post a Comment