TMA YATABIRI MVUA ZA MASIKA 2026, YATOA TAHADHARI KWA SEKTA MBALIMBALI NCHINI
Na Mwandishi Wetu
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa mwelekeo wa mvua za Masika kwa kipindi cha Machi hadi Mei, 2026, ikieleza maeneo ya pwani ya kaskazini na baadhi ya ukanda wa Ziwa Victoria yanatarajiwa kupata mvua za wastani hadi juu ya wastani, huku nyanda za kaskazini mashariki zikitabiriwa kupata mvua za wastani hadi chini ya wastani.
Hayo yamebainishwa Jijini Dar es salaam mapema leo Februari 5,2026 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt.Ladislaus Chang'a wakati akitoa mwelekeo huo kwa waandishi wa habari.
Dkt. Chang'a ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Nchi ,amesema mvua za Masika zinahusisha maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua kwa mwaka, yakiwemo nyanda za kaskazini mashariki pamoja (Arusha, Manyara na Kilimanjaro), pwani ya kaskazini (ikiwa ni pamoja na Dar es Salaam, mkoa wa Pwani na Visiwa vya Kaskazini Unguja, Pwani ya Victoria, Tanga na Pwani ya Kigoma ya Kigoma).
"Mvua za Masika zinatarajiwa kuanza Wiki ya nne ya Februari hadi wiki ya kwanza ya Machi 2026 katika ukanda wa Ziwa Victoria, Wiki ya kwanza hadi ya pili ya Machi katika maeneo ya pwani ya kaskazini"amesema
Amesema wiki ya pili hadi ya tatu ya machi katika nyanda za kaskazini mashariki mvua hizo zinatarajiwa kuisha kati ya wiki ya nne ya Mei na wiki ya kwanza ya Juni 2026, huku kukusanya la mvua likitarajiwa zaidi mwezi Aprili.
Akizungumzia mgawanyo wa Mwelekeo wa Mvua amesema mvua za wastani hadi wastani zinatarajiwa katika maeneo mengi ya pwani ya kaskazini, mikoa ya Kagera, Geita na kaskazini mwa Kigoma.
"Mvua za wastani hadi chini ya wastani zinatarajiwa katika nyanda za kaskazini mashariki na baadhi ya mikoa ya Ziwa Victoria ikijumuisha Mwanza, Shinyanga, Mara na Simiyu"amesema
Hata hivyo, ameonya kuwa matukio ya hali mbaya ya hewa, pamoja na mvua kubwa za muda mfupi, kutokea hata katika maeneo yanayoongoza kupata mvua za wastani wastani.
Aidha amesema amesema zinazotarajiwa mvua nyingi kuokoa muda kupita kupita kiasi,Uharibifu athari wa athari,kuenea kwa mimea ya mifugo, na binadamu,changamoto katika sekta ya ujenzi, ujenzi na maji.
Kwa upande mwingine, na maoni yanayotarajiwa kupatikana kwa kupata na kupata fedha kwa matumizi ya nyumbani, kilimo na mifugo.
Aidha ametoa ushauri kwa Sekta Mbalimbali
mahsusi katika sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na Kilimo hukutaka Wakulima mashamba kwa wakati, kutumia mbinu za kuhifadhi maji, mamlaka na ushauri wa mamlaka ugani.
Kwa upande wa mifugo na mifugo amesema Wafugaji wanahimizwa matumizi ya matumizi ya maji na malisho, na kuchukua tahadhari dhidi ya mifugo ya mifugo.
Huku sekta ya ujenzi na ujenzi wadau wakishauriwatabiri utabiri wa kila siku ili athari za mafuriko na kuchelewa kwa miradi.
"Katika sekta ya afya
ninatakiwa kutumia maji safi na salama na kuchukua dawa za magonjwa yanayohusiana na maji na wadudu" amesema
Vilevile katika Serikali za Mitaa zimehimizwa kuimarisha mamlaka ya maji, mifereji ya maji ya mvua na mipango ya kudhibiti maafa.
Aidha amesisitiza kuwa mwelekeo huu ni wa jumla kwa msimu mzima, hivyo wananchi na wanahimizwa kuendelea utabiri wa saa 24, siku 10 na mwezi pamoja na tahadhari rasmi zitakazotolewa mara kwa mara.
“Matumizi sahihi ya taarifa za hali ya hewa ni msingi muhimu wa kulinda maisha, mali na uchumi,” amesema





Comments
Post a Comment