JUAKITA DAR YATOA SADAKA KWA YATIMA NA WAHITAJI

 




Na Mwandishi wetu

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Akinamama wa kiislamu Tanzania (Juakita) Mkoa wa Dar es salaam Bi Mariam Mtambo akiwa ameuonyesha nguvu ya kipekee ya akinamama walipowawezesha utoaji wa sadaka kwa watoto yatima, wajane, Wazee na wenye uhitaji zaidi ya watu 25000 walihudhulia katika hafla hiyo huku vituo vya watoto yatima zaidi ya 14 vilinufaika kwa kupatiwa nguo za sikukuu, vyakula na pesa Taslimu imekuwa kawaida kwa Juakita mkoa wa Dar es salaam kutembelea Makundi haya kwa utoaji wa saddaka







Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA