KONGAMANO LA PILI LA TANESCO NI ZAIDI YA MTOKO
Na Mwandishi wetu
Furaha na bashasha imetanda kwa washiriki wa Kongamano la Pili la Wanawake wa TANESCO Kuhamasisha Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ya Umeme ambalo linaendelea muda huu katika ukumbi wa Diamond Jubilee Upanga Jijini Dar Es Salaam






Comments
Post a Comment