MCHANGO WA WMA KUWEZESHA MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE WATAMBULIWA

 




Na Mwandishi wetu

OFISI ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma imetoa cheti cha shukrani kwa Wakala wa Vipimo (WMA) ikitambua mchango wake katika kuwezesha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Kimataifa ngazi ya Mkoa.

Mgeni Rasmi katika Maadhimisho hayo yaliyofanyika Kongwa, Machi 8, 2026,  Mkuu wa Mkoa, Rosemary Senyamule amekabidhi cheti hicho chenye sahihi yake.

Mbali na kuchangia fedha kuwezesha maadhimisho hayo, pia WMA iliweka kambi kwenye viwanja vya maadhimisho na kutoa elimu ya vipimo kwa wananchi.





Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA