NGOME YA WANAWAKE ACT Wazalendo YAGAWA TAULO ZA KIKE SHULE YA SEKONDARI TANDIKA
Na Mwandishi wetu
KATIKA kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, leo Machi 6, 2026 @ngomeyawanawake Mkoa wa Dar es Salaam imegawa taulo za kike kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Tandika
#MbakizeBintiShuleni



Comments
Post a Comment