DOROTHY SEMU KUONGOZA TCD





Na Mwandishi wetu

KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo  Ndugu Dorothy Semu  leo 17 Aprili 17, 2026 amekabidhiwa rasmi nafasi ya Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD).

Katika uongozi huo, Makamu Mwenyekiti kwa sasa ni  Stephen Wasira, aliyeteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kwa mujibu wa katiba ya kituo wanapaswa kuchukua nafasi ya Makamu mwenyekiti.

Mabadiliko haya yamekuja kufuatia kumalizika kwa muda wa uongozi uliokuwa ukishikiliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).






Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA