RAIS RUTO KULIHUTUBIA BUNGE LA TANZANA MEI 5

 



RAIS wa Jamhuri ya Kenya Wiliam Ruto, anatarajiwa kuja Tanzania na kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mei 5, 2026 siku ya Jumanne Bungeni Jijini Dodoma.

Hayo yamesemwa leo Aprili 29, 2026 Bungeni na Naibu Spika Daniel Baran Sillo  akitoa taarifa hiyo kwa Wabunge wa Tanzania kuhusu ujio wa ugeni wa Rais wa Jamhuri ya Kenya.

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA