WASIRA AKONGA NYOYO ZA WANANCHI KIGOMA MJINI

 




Na Mwandishi wetu

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewahutubia na kukonga nyoyo za mamia ya wana CCM na wananchi wa Kigoma mjini huku akiwataka kudumisha amani, umoja na mshikamano.

Wasira amewahutubia wananchi hao leo Mei 16, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Uwanja wa Kawawa uliopo Kigoma mjini akiwa katika siku ya mwisho ya ziara yake ya siku tatu mkoani humo.





Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA