NEWALA KUNUFAIKA NA UMEME WA UHAKIKA



Ni baada ya kukamilika kwa njia ya kusafirisha umeme ya kilovoti 33 Masasi - Mtwara 

Mradi umeimarisha upatikanaji wa umeme wa uhakika kwa Wilaya ya Newala na wananchi.

MD Twange asema thamani ya mradi takribani shilingi bilioni 4.65

Newala, Mtwara | Julai 21, 2026


WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amezindua rasmi mradi wa njia ya kusafirisha kilovoti 33, akieleza mradi huo katika sehemu za Serikali za kuendelea kufikia kufikia uhakika kwa wananchi kuweka mazingira wezeshi kwa shughuli za kiuchumi katika Wilaya ya Newala.

Mawasiliano wakati wa njia hiyo,  Ndejembi amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, inaendelea kuwekeza katika miradi ya kimkakati ya umeme ili kuhakikisha huduma ya nishati inawafikia wananchi wengine zaidi na kuwa chachu ya maendeleo.




"Njia hii ya umeme ni msingi wa kukuza uchumi, kuongeza mchango, kuboresha kuboresha ubora kwa Wilaya ya Newala," amesema Mhe. Ndejembi.

Aidha, Waziri Ndejembi amesema Serikali itaendelea kulinda Mikoa ya Lindi na Mtwara inapata umeme wa uhakika ikiwa ni pamoja na kuunganisha Mikoa hiyo na umeme wa gridi ya Taifa.




Akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mkuu wa Wilaya ya Newala, Mwangi Kundya amesema miradi mbalimbali imeendelea kutekelezwa Mkoa wa Mtwara.

"Mheshimiwa Waziri niiongeze Serikali kwani Vijiji vyote vya Mkoa wa Mtwara 785 vinapata huduma ya umeme". Amesema Mwangi.

Ameongeza kuwa katika kuboresha huduma kwa wateja wa mkoa wa Mtwara umepokea vitendea kazi yakiwemo magari kumi na moja, bajaji nne na pikipiki tisa.

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba amesema Serikali imekuwa ikiboresha kuboresha na kupata umeme Mikoa ya Mtwara na Lindi.

"Mahitaji ya Lindi na Mtwara yameendelea kukua na Serikali imewekeza kwenye uwekezaji hivi sasa Mkoa wa Mtwara tunazalisha zaidi ya megawati 50". Amesema Mramba.




Awali akitoa taarifa za utekelezaji wa mradi Mkurugenzi Mtendaji TANESCO, Lazaro Twange ujenzi wa njia hiyo umetekelezwa kwa shilingi 4.56 kwa umbali wa Kilometa 76 kutoka Masasi hadi Newala.

"Mheshimiwa mgeni rasmi kabla ya mradi huu kutekelezwa Wilaya ya Newala ilikua ikipata kutokea Mtwara kupitia Nanyumbu umbali wa kilomita 170, halichangia tatizo lililo katika kukatika kwa umeme kwa mara". Amesema Twange.

Amesema kuwa kukamilika kwa ujenzi wa njia hiyo ya umeme kumeongeza uwezo wa umeme na kuondoa changamoto ya kukatika kwa umeme kwa Wilaya hiyo.

Aidha, Serikali kupitia TANESCO imetenga takribani shilingi bilioni 5.27 kwa ajili ya kujenga kituo cha kubadilishia umeme (Switching Station) kitakacho saidia kuboresha umeme na kukidhi mahitaji ya sasa na ya badaye ya wananchi na Wilaya ya Newala. 

Mbunge wa Newala Vijijini Dkt. Yahaya Nawanda kwa niaba ya Wabunge wa Mkoa wa Mtwara ameipongeza Serikali kwa upatikanaji wa umeme Mkoa wa Mtwara.

Comments

Popular posts from this blog

WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDIA SEKONDARI WACHANGIA UJENZI WA KANISA SH MILLION 20

VETA YAJIPANGA KUSHIRIKINA NA TOYOTA TANZANIA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI MAGARI

UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO MALAGARASI , WAPIGA HATUA MPYA